Nenda kwa yaliyomo

Jack Dylan Grazer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake.

Jack Dylan Grazer (amezaliwa Los Angeles, California, 3 Septemba 2003) ni mwigizaji wa Marekani, mtoto wa kiume wa Angela Lafever na Gavin Grazer, ndugu wa Brian Gazer.

Mnamo mwaka 2018 ripoti za Hollywood walimtaja kuwa mmoja kati ya top 30 ya mastar bora walio na umri chini ya miaka 18. Ameigiza filamu kama Shazam, Beautiful boy, It, It chapter two, Dont tell a soul na nyinginezo.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Dylan Grazer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.