Nenda kwa yaliyomo

JS Academy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

JS Academy ni shirika lisilo na faida linalopatikana huko Karachi, Pakistan, linalolenga kufundisha kusoma na kuandika watoto viziwi.

Shirika hili lilianzishwa na Laila Dossa mwaka 2004. Kwa sasa yeye ndiye mwenyekiti wa shirika hilo.[1]

Mfuasi mkuu wa JS ACADEMY ni Mahvash & Jahangir Siddiqui Foundation. Academy inahudumia familia 150 zenye watoto viziwi.[2]. Lina maktaba, elimu ya mazoezi, sanaa, sayansi na cherehani.

  1. "JS Academy for the Deaf: Dancing to the beat, without hearing the music". The Express Tribune (kwa Kiingereza). 2011-04-09. Iliwekwa mnamo 2021-04-14.
  2. "About the academy". JS Academy. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-05. Iliwekwa mnamo 26 Januari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)