Nenda kwa yaliyomo

Ismaïl Aissati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ismail Aissati (2009)

Ismaïl Aissati (alizaliwa 16 Agosti 1988) ni mchezaji wa soka wa Moroko ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uturuki, Denizlispor[1].

Ushiriki Katika Klabu

[hariri | hariri chanzo]

PSV Ismaïl Alizaliwa Utrecht kwa wazazi wa Moroko, Aissati alianza kucheza soka akiwa na umri mdogo akiwa amejiunga na klabu ya DSO Utrecht na USV Elinkwijk kabla ya kujiunga na klabu ya PSV Eindhoven mwaka wa 2000 alipokuwa na umri wa miaka kumi na mbili baada ya kuchunguzwa kushuka kitaaluma kwa klabu hyo mwaka wa 2005.[2]

Aissati katika mafunzo na klabu ya PSV mnamo 2008.

Ushiriki Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Awali Aissanti aliwakilisha ligi ya Uholanzi U15, Uholanzi U16 na Uholanzi U17. Alikuwa sehemu ya timu iliyoshinda Mashindano ya Soka ya UEFA ya Vijana ya U-21 ya 2006. [3]

PSV[4]

  • Eredivisie: 2005–06, 2007–08

Ajax

  • Eredivisie: 2011–12
  • Kombe la KNVB: 2009–10
  1. "Dilemma: ramadan en voetbal", AD.nl, 29 September 2006. (nl) 
  2. "Aissati 10 numara hocayla calismak buyuk sans medical-park antalyaspor", Milliyet.com, 3 December 2012. (tr) 
  3. "Vandaag meer duidelijkheid over knie Ismail Aissati". PSV Eindhoven Official Website. 11 Juni 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Julai 2016. Iliwekwa mnamo 3 Julai 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Morocco - I. Aissati - Trophies". Soccerway. Iliwekwa mnamo 7 Oktoba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ismaïl Aissati kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.