Ishirini na moja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ishirini na moja ni namba inayoandikwa 21 kwa tarakimu za kawaida na XXI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 20 na kutangulia 22.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 7.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ishirini na moja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.