Ishara ya Kiarmenia ya umilele
Mandhari
Ishara ya Kiarmenia ya umilele (kwa Kiarmenia: Arewaxač au Arevakhach) ni ishara ya kale ya taifa la Armenia na pia ni alama ya utambulisho ya watu wa Armenia.
Inajulikana kama haveržut'yan haykakan nšan (հավերժության հայկական նշան, "duara ya Kiarmenia ya umilele".
Ni moja ya alama ya kisanifu kwa watu wa Armenia ambayo huchongwa kwenye kuta za majumba yao ya ibada.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |