Nenda kwa yaliyomo

Isebania, Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tanzania location map

Isebania ni mji mdogo wa wilaya ya Tarime, mkoa wa Mara, Tanzania uliopo mpaka wa Kenya.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Isebania, Tanzania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.