Isabelle Morneau
Mandhari
Isabelle Morneau (alizaliwa Greenfield Park, Quebec, 18 Aprili 1976) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani kutoka Kanada ambaye alichezea timu ya taifa ya wanawake ya Kanada. Alichaguliwa kuwa mjumbe wa Canadian Soccer Hall of Fame mwaka 2014.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Vega, Damian (2003-09-28). "SOCCER; WOMEN'S WORLD CUP; Canada stands tall in win". Boston Herald. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 18, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Isabelle Morneau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |