Irene Kisisa
Mandhari
(Elekezwa kutoka Irine kisisa)
Irene Kisisa | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 18 Novemba 2004 | |
Mahala pa kuzaliwa | Kigoma, Tanzania | |
Urefu | 1.60 m (5 ft 3 in) | |
Nafasi anayochezea | Kiungo Mshambuliaji | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Young Africans Princes | |
Namba | 9 | |
Klabu za vijana | ||
KIgoma Sisters 2017-2019
Young Africans Princes 2019- | ||
Timu ya taifa | ||
Twiga Stars | ||
* Magoli alioshinda |
Irene Kisisa (alizaliwa mkoani Kigoma, 18 Novemba 2004) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya wanawake ya Young Africans Princes ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars.[1] [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-16. Iliwekwa mnamo 2020-11-14.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-11. Iliwekwa mnamo 2020-11-14.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Irene Kisisa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |