Irene Kisisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Irene Kisisa
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 18 Novemba 2004 (2004-11-18) (umri 19)
Mahala pa kuzaliwa    Kigoma, Tanzania
Urefu 1.60 m (5 ft 3 in)
Nafasi anayochezea Kiungo Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Young Africans Princes
Namba 9
Klabu za vijana
KIgoma Sisters 2017-2019

Young Africans Princes 2019-

Timu ya taifa
Twiga Stars

* Magoli alioshinda


Irene Kisisa (alizaliwa 18 Novemba 2004) mkoani Kigoma, ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya wanawake ya Young Africans Princes ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars.

[1] [2]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-16. Iliwekwa mnamo 2020-11-14. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-11. Iliwekwa mnamo 2020-11-14. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Irene Kisisa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.