Intellivision Amico

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Intellivision Amico
MwundajiIntellivision Entertainment
AinaMchezo wa video
CPU8 msingi 1.8GHz CPU
PredecessorIntellivision

Intellivision Amico ni toleo la pili la mashine ya michezo ya video kutoka kampuni ya Intellivision Entertainment. Mashine hiyo huwa wanazitoa kwa awamu, lipo toleo la kwanza na hili la pili na la tatu pia.


Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Intellivision Amico kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.