Inde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Inde
(Megathyrsus maximus)
Inde
Inde
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama jaja)
Oda: Poales (Mimea kama manyasi)
Familia: Poaceae (Mimea iliyo mnasaba na manyasi)
Nusufamilia: Panicoideae
Jenasi: Megathyrsus
Spishi: M. maximus
(Jacq.) B.K.Simon & S.W.L.Jacobs, 2003
Visawe: Panicum maximum

Inde (Megathyrsus maximus) ni aina ya nyasi refu inayoishi miaka mingi. Nyasi hili hutumika kwa kulisha wanyama.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]