Incheon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Incheon

Incheon (Kikorea: 인천) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa tatu katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakazi 2,775,645 (mwaka 2010). Mji ulianzishwa 1883.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 1,029.16 km².

Incheon SK.png

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Incheon" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Incheon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.