Ibrahim Saidi Rashidi Msabaha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ibrahim Saidi Rashidi Msabaha (amezaliwa tar. 19 Februari 1951) ni mbunge wa jimbo la Kibaha katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Ibrahim Saidi Rashidi Msabaha (27 Februari 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.