IBali
Ataindum Donald Nge (amezaliwa Septemba 2, 1997) ni mwanamuziki wa Kameruni na mtumbuizaji anayefahimika kwa jina la Ibali akiwa jukwaani. Pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu. [1][2]
Maisha ya awali na kazi[hariri | hariri chanzo]
Ibali alizaliwa Bamenda, Kameruni. Ibali anandugu 3 na yeye ndiye mzaliwa wa kwanza katika familia yao. Alianza kurekodi muziki mwaka 2014 kwa jina la brandi Dolly Pearl.[3]
IBali aliachia nyimbo mbalimbali akiwashirikisha wasanii kama vile Richard Kings, Magasco, Blaise B, na Daddy Black.[4][5] Januari 2021, Ibali alizindua video yake mpya iitwayo Revelation chini ya albamu yake ya Prophetic.[6]
Diskografia[hariri | hariri chanzo]
Albamu[hariri | hariri chanzo]
- Prophetic (2021)
Nyimbo[hariri | hariri chanzo]
- Legendary
- One People
- Revelation
Zilizoshirikishwa[hariri | hariri chanzo]
- Dolly Pearl ft Blaise B
- Dolly Pearl Cado ft Daddy Black
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ The Birth of a Pan-African Prophet; Ibali The Spiritual Artist (22 July 2020). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-09-29. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.
- ↑ [Music Video Ibali - Legendary].
- ↑ Dolly Pearl Rebrands himself | Welcome To Lady-T's World. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-09-29. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.
- ↑ Uprising Dolly Pearl Speaks Up (1 July 2018). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-09-25. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.
- ↑ Afro-Spiritual Artiste IBALI Crowned "Messiah Of Cameroonian Music" By DJs.
- ↑ Artist IBALI Drops His Empowering New Single "Revelation" (2 February 2021).