Fefe
(Elekezwa kutoka Hyparrhenia rufa)
Jump to navigation
Jump to search
Fefe (Hyparrhenia rufa) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Fefe
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Fefe (Hyparrhenia rufa) ni aina ya manyasi inayoishi miaka mingi. Inatokea Afrika katika maeneo mbalimbali. Jina hili litumika pia kwa spishi nyingine za jenasi Hyparrhenia. Manyasi haya hutumika sana kwa kuezekea mapaa na pia kutengenezea mikeka na vikapu.