Nenda kwa yaliyomo

Hvannadalshnjúkur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima wa Hvannadalshnjúkur

Hvannadalshnjúkur ni mlima uliopo katika kisiwa cha Iceland yenye kimo cha mita 2,110. Ndio mlima mrefu kuliko yote ya nchi hiyo.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hvannadalshnjúkur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.