Nenda kwa yaliyomo

Humblesmith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ekenedirichukwu Ijemba (anajulikana zaidi kwa jina la kisanii la Humblesmith, amezaliwa 14 Mei 1991) ni msanii wa kurekodi muziki wa Afropop kutoka Nigeria ambaye alitambulika baada ya kuachia wimbo wake uitwao "Osinachi" mwaka 2015 ambao baadaye ulishinda katika tuzo za burudani 2016.[1][2]

  1. Ayodele Johnson. "Humblesmith: 'I want to give $2000 to my fans', singer says", Pulse Nigeria, July 23, 2016. Retrieved on July 24, 2016. Archived from the original on 2016-07-24. 
  2. "Humblesmith speaks on background", Naij, April 4, 2016. Retrieved on July 24, 2016. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Humblesmith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.