Huizhou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Huizhou








Huizhou
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi China
Jimbo Guangdong
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 3,875,000
Tovuti:  www.huizhou.gov.cn

Huizhou (kwa Kichina: 惠州市) ni mji wa China katika jimbo la Guangdong.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, kuna wakazi wapatao milioni 3.9 wanaoishi katika mji huu.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Huizhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.