Hugo Ayala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hugo Ayala

Hugo Ayala Castro (alizaliwa 31 Machi 1987) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye sasa anacheza kama beki wa klabu ya Tigres UANL na timu ya taifa ya Mexiko.

Tigres UANL[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2010, aliwasili Tigres UANL . Ayala aliitwa mchezaji bora wa msimu wa Apertura mwaka 2011 pamoja na mwenzake wa kikosi cha klabu ya Jorge Torres Nilo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hugo Ayala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.