Nenda kwa yaliyomo

Huang Xuechen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huang Xuechen katika Open Make Up For Ever 2013
Huang Xuechen katika Open Make Up For Ever 2013

Huang Xuechen (amezaliwa Februari 25, 1990) ni mwogeleaji kwa mfuatano wa mziki kutoka Jamhuri ya Watu wa China.[1]

Huang alishindana ndani ya timu ya wanawake kwenye michezo ya olimpiki 2008 majira ya joto na kushinda medali ya shaba.

Aliendeleza mafanikio haya kwenye michezo ya wawili (akiwa na Liu Ou) na kwenye timu ya taifa kwenye michezo ya olimpiki majira ya joto ya mwaka 2012, ambapo alishinda medali ya shaba na medali ya fedha kwa mfuatano. 2016 kwenye olimpiki ya majira joto alishinda medali mbili za fedha, moja kwenye mchezo wa wawili (akiwa na Sun Wenyan) na nyingine kwenye mchezo wa timu.[2]

  1. "Huang Xuechen Bio, Stats, and Results | Olympics at Sports-Reference.com". web.archive.org. 2015-09-15. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-17. Iliwekwa mnamo 2021-12-23.
  2. "Huang Xuechen Bio, Stats, and Results | Olympics at Sports-Reference.com". web.archive.org. 2020-04-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-17. Iliwekwa mnamo 2021-12-23.