Housni Benslimane
Mandhari
Housni Benslimane حسني بن سليمان | |
Benslimane akiwa kama mlinda lango wa AS FAR akiwa amebebwa na wenzake baada ya fainali ya Kombe la Ufalme wa Morocco | |
Kamanda wa Jeshi la Kifalme la Morocco
| |
---|---|
Muda wa Utawala miaka ya 1970 – 4 Desemba 2017 | |
mtangulizi | Bouazza Boulhimez |
aliyemfuata | Mohamed Harmou |
Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Morocco
| |
Muda wa Utawala 1994 – 2017 | |
mtangulizi | Hassan Sefrioui |
aliyemfuata | Faïçal Laraïchi |
Rais wa Shirikisho la Soka la Morocco
| |
Muda wa Utawala 1995 – 16 Aprili 2009 | |
mtangulizi | Houssaine Zemmouri |
aliyemfuata | Ali Fassi Fihri |
Mkurugenzi wa Idara Kuu ya Usalama wa Taifa ya Morocco
| |
Muda wa Utawala 1967 – 1972 | |
mtangulizi | Mohamed Oufkir |
aliyemfuata | Ahmed Dlimi |
tarehe ya kuzaliwa | 14 Desemba 1935 El Jadida, Morocco |
utaifa | Mmorocco |
taaluma | Afisa wa Jeshi Msimamizi wa michezo ya Soka Mchezaji wa Soka |
Military service | |
Allegiance | Morocco |
Service/branch | Kigezo:Flagicon image Jeshi la Kifalme la Morocco |
Years of service | 1957–sasa |
Rank | Jenerali |
Unit | Kigezo:Flagicon image Jeshi la Kifalme la Morocco |
Battles/wars | Vita vya Sahara Magharibi |
Jenerali Housni Benslimane (alizaliwa 14 Desemba 1935, El Jadida) ni afisa wa ngazi ya juu wa Jeshi la Kifalme la Moroko ambaye amehudumu tangu mwaka 1972 kama Kamanda Mkuu wa kitengo hiki. Pia anasimamia Kamati ya Olimpiki ya Morocco na alikuwa rais wa FA ya Morocco kati ya mwaka 1994 na 2009.[1][2][3]
Housni Benslimane alikuwa mchezaji wa Soka katika klabu ya Morocco AS FAR, akihudumu kama golikipa kati ya miaka ya 1958 na 1961.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Leila El Attafi. "Housni Benslimane quitte la présidence", 2 April 2009. Retrieved on 18 October 2012.
- ↑ Omar EL ANOUARI. "Le général Housni Benslimane reconduit à l'unanimité", 2005-07-25. Retrieved on 18 October 2012.
- ↑ MAP. "Message de fidélité et de loyalisme à S.M. le Roi du général de corps d'armée Housni Benslimane", 2009-04-22. Retrieved on 18 October 2012.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Housni Benslimane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |