Nenda kwa yaliyomo

Hotuba ya Mfalme Baudouin (13 Januari 1959)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tarehe 13 Januari 1959, Mfalme Baudouin alihutubia taifa kwa redio na kutangaza kuwa Ubelgiji itafanya kazi kuelekea uhuru kamili wa Kongo ya Kibelgiji.[1][2]

  1. "Address given by Baudouin I, King of the Belgians, on the self-determination of the Belgian Congo (Brussels, 13 January 1959)". CVCE.EU by UNI.LU (kwa Kiingereza). 2017-02-03. Iliwekwa mnamo 2021-07-18.
  2. "The Leopoldville Riots of 1959". ufdc.ufl.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-18.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hotuba ya Mfalme Baudouin (13 Januari 1959) kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.