Nenda kwa yaliyomo

Horace Faith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Horace Faith (kwa jina la kuzaliwa Horace Smith) alikuwa mwimbaji wa reggae kutoka Jamaika.

Anajulikana zaidi kwa wimbo wake Checkmates, Ltd. au Black Pearl ambao ulifikia nafasi ya 13 kwenye UK Singles Chart mwaka 1970.[1][2][3][4]

  1. Roberts, David (2006). British Hit Singles & Albums (tol. la 19th). London: Guinness World Records Limited. uk. 193. ISBN 1-904994-10-5.
  2. Whitburn, Joel (2000). The Billboard Book of Top 40 Hits (tol. la 7th).
  3. [[[:Kigezo:AllMusic]] "Black Pearl"]. AllMusic. Iliwekwa mnamo 11 Aprili 2012. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Horace Faith – "Black Pearl"". Toniwine.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 11 Aprili 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)