Honey Sri-Isan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Honey Sri Isan (26 Oktoba 1971[1] - 26 Februari 1992) alikuwa mwimbaji wa Thailand. Alijulikana kwa nyimbo zake za kiasili na ballads za Mor lam. Mzaliwa wa Mkoa wa Kalasin.

Alipata ajali ya gari na kufariki mwaka 1992 katika Si Saket,akiwa na umri wa miaka 21[2][3].

Matamasha na ziara[hariri | hariri chanzo]

  • Namta Lon Bon Tee Non
  • Won Phee Mee Rak Dieaw

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Honey Sri-Isan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.