Hilton Alger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hotel ya Alger Hilton

Hilton Alger ni hoteli katika mji wa Algiers nchini Algeria, iliyoendeshwa na Hoteli za Hilton. ilifungwa mwaka 2017 kwa ajili ya ukarabati.[1] Hoteli ina vyumba 412, ikiwa ni pamoja na vyumba 40 Deluxe. Inahudumiwa na mgahawa wa 'Sara'" ambao huudimia vyakula vya Mediterrania, 'Casbah' ambavyo ni vyakula vya jadi vya Algeria na 'Tamina', ambavyo ni vyakula vya Mediterrania na kimataifa.[2] Hoteli pia ina baa nyingi na kumbi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. With oil revenue flagging, Algeria turns to tourism (31 January 2018).
  2. The Report: Algeria 2008. Oxford Business Group. 2008. p. 251. ISBN 978-1-902339-09-2. Retrieved 20 March 2011.