Hilde Holger
Mandhari
Hilde Holger (jina la kisanii la Hilde Boman-Behram, awali Hilde Sofer; 18 Oktoba 1905 – 24 Septemba 2001) alikuwa mwalimu wa dansi kutoka Austria. Akiwa Myahudi, alihamia Uingereza kukimbia dhuluma za Wanazi.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hilde Holger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |