Nenda kwa yaliyomo

Hilda Adefarasin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hilda Adefarasin (9 Januari 1925[1]5 Februari 2023) alikuwa mwanaharakati wa haki za wanawake kutoka Nigeria na rais wa National Council of Women's Societies (NCWS). Aliacha kazi yake ya uuguzi mwaka 1969 ili kujikita katika shughuli za kitaalamu za NCWS. Mwaka 1971, alikua mhasibu wa baraza hilo na mwaka 1987, alikua rais.

  1. "Pastor Adefarasin Eulogizes Mother as She Marks 97th Birthday | Photos". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-27. Iliwekwa mnamo 2024-11-28.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hilda Adefarasin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.