Hifadhi ya Taifa ya Yoboki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ya Yoboki ni mbuga ya taifa nchini Djibouti inayozunguka mji wa Yoboki .

Mji wa Yoboki awali uliundwa kama ofisi ya posta ya jeshi la Ufaransa mwaka 1947. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Yoboki National Park". National Parks in Africa (kwa en-ZA). Iliwekwa mnamo 2021-03-01. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Yoboki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.