Hifadhi ya Taifa ya Toubkal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hifadhi ya Taifa ya Toubkal

Hifadhi ya Taifa ya Toubkal ni hifadhi ya taifa katika safu ya milima ya Atlas kilomita 70 kutoka Marrakesh katikati-magharibi mwa nchini Moroko. Jbel Toubkal ni kilele cha juu cha Hifadhi yenye urefu wa 4,167 mita.[1][2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Toubkal National Park Guide (2021)". Moroccanzest (kwa en-US). 2021-01-20. Iliwekwa mnamo 2021-01-20. 
  2. "Accueil". Parc national de Toubkal (kwa fr-FR). Iliwekwa mnamo 2021-01-20. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Toubkal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.