Nenda kwa yaliyomo

Hifadhi ya Taifa ya Lusaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ya Lusaka iko kusini mashariki mwa jiji la Lusaka nchini Zambia . Ni mbuga mpya zaidi ya taifa huko Zambia, ilianzishwa mnamo 2011 na kufunguliwa rasmi mnamo 2015.

Pia ni mbuga ndogo zaidi ya taifa nchini Zambia yenye ukubwa hekta 6,715. Hifadhi hiyo ilianzishwa juu ya eneo ambalo hapo awali lilikuwa hifadhi ya msitu na limezungushiwa uzio.[1]

  1. "President Lungu opens Lusaka National Park". Lusaka Times. Lusaka Times. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)