Hifadhi ya Taifa ya Lag Badana
Mandhari
Hifadhi ya Taifa ya Lag Badana, ni [[hifadhi ya taifa iliyopo nchini Somalia , Iko kwenye pwani ya kusini ya mbali.
Muhtasari
[hariri | hariri chanzo]Lag Badana ilikuwa mbuga ya kwanza ya taifa kuanzishwa nchini humo. Katika nusu ya pili ya miaka ya 1980, Wizara ya Utalii Somalia chini ya utawala wa Siad Barre ilitafuta kuweka tasnia ya utalii katikati mwa eneo la mbuga, na miamba ya matumbawe ya karibu na visiwa vya pwani vile vile vilifikiriwa kama sehemu ya maendeleo. [1]
Wanyamapori
[hariri | hariri chanzo]Eneo la Lag Badana lina zaidi ya spishi 200 za mimea yenye mishipa na ni makazi kwa wanyama adimu kama kudu. Kati ya mimea yote, trakribani 20 ni endemic . [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Coastal and Marine Environmental Problems of Somalia, Volume 1. UNEP. 1987. uk. 127.
- ↑ Oldfield, S.; IUCN/SSC Cactus and Succulent Specialist Group (1997). Cactus and Succulent Plants: Status Survey and Conservation Action Plan. Gland: IUCN. uk. 59. ISBN 978-2-8317-0390-9. Iliwekwa mnamo 28 Aprili 2012.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Lag Badana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |