Hifadhi ya Taifa ya Kismayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ya Kismayo ( KNP ) ni mbuga ya taifa huko Kismayo, Somalia, pia inajulikana kama Haabar Waalid.

Hifadhi hiyo iko maili 17 kutoka mji wa Kismayo. [1]

Katika mbuga hii ya taifa, wanyama wengi huzurura kwa uhuru katika makao yao yaliyohifadhiwa. Hifadhi hii ni makazi kwa wanyama wa asili kutoka eneo hilo, kama Ngedere . Tabia hii inafanya hifadhi hii kuwa maalumu na ya kipekee. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kismayo National Park". National Parks in Africa (kwa en-ZA). Iliwekwa mnamo 2020-12-02. 
  2. "Kismayo, Hidden Paradise In Southern Somalia || TheTouristPlace.com". www.thetouristplace.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-04. Iliwekwa mnamo 2020-12-02. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Kismayo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.