Hifadhi ya Taifa ya Khenifra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hifadhi ya Taifa ya Khenifra

Hifadhi ya Taifa ya Khenifra ni hifadhi ya kitaifa katika eneo la mashariki ya kati nchini Moroko. Hifadhi hii iliundwa mwaka 2008 yenye kilomita za mraba 842 (325 sq mi) kwa ukubwa na Kupita katikati ya Milima ya Atlas ziwa Aguelmame Aziza na ziwa Aguelmame Sidi Ali yapo ndani ya mipaka yake.[1][2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Khenifra National Park, Protected Planet
  2. "Khenifra National Park | Morocco". Wild Safari Guide (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2020-11-30. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Khenifra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.