Hifadhi ya Taifa ya Dinder

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mipaka ya Hifadhi ya Taifa ya Dinder.
Mipaka ya Hifadhi ya Taifa ya Dinder.

Hifadhi ya Taifa ya Dinder ni mbuga ya taifa na hifadhi ya viumbe hai iliyopo mashariki mwa Sudani, na imeunganishwa na Mbuga ya taifa ya Alitash ya Ethiopia. [1]

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Dinder iko takribani kilomita 400 kusini mashariki mwa Khartoum, upande wa pili wa Mto Dinder unaopakana na Mto Rahad kuelekea kaskazini. [2]

Mji wa Dinder upo kilomita 100 kaskazini magharibi hutumika kama lango la watalii wanaotaka kuingia kwenye hifadhi. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Howard, B.. "Once Thought Extinct, 'Lost' Group of Lions Discovered in Africa", National Geographic, 2016. Retrieved on 2016-02-07. 
  2. van Hoven, Wouter; Mutasim B. Nimir (2004). Paul, Goriup, mhariri. "Recovering from conflict: the case of Dinder and other national parks in Sudan". Parks (Gland, Switzerland: World Commission on Protected Areas) 14 (1): 26–33. ISSN 0960-233X. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-10. Iliwekwa mnamo 22 August 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Dinder National Park". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2013-12-20. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Dinder kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.