Hifadhi ya Taifa ya Aouk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ya Aouk ni mbuga ya taifa nchini Chad . Ina eneo la kilomita za mraba 7400. [1]

Ingawa mbuga hiyo haikukua ikiwa na ulinzi sawa na Mbuga ya taifa ya Zakouma, bado ina mchanganyiko mkubwa na wa kuvutia wa mamalia na ndege. Ni mahali maarufu kwa safari za utalii.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Aouk kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.