Nenda kwa yaliyomo

Hifadhi ya Mazingira ya Manavhela Ben Lavin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Manavhela Ben Lavin Nature Reserve

A family of South African giraffes
Location on a map of Limpopo
MahaliLimpopo, South Africa
Nearest cityLouis Trichardt
Eneo25 sq km
Kuanzishwa1976

Hifadhi ya Mazingira ya Manavhela Ben Lavin ni hifadhi ya mazingira iliyoko karibu na Louis Trichardt, katika jimbo la Limpopo la Afrika Kusini. Eneo la Hifadhi ni la takribani square kilometre 25 (ha 2 500).

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Mazingira ya Manavhela Ben Lavin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.