Hermann Joseph Muller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hermann Joseph Muller (21 Desemba 18905 Aprili 1967) alikuwa mwanajenetiki kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mabadiliko ya jeni na chanzo chake. Mwaka wa 1946 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hermann Joseph Muller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.