Nenda kwa yaliyomo

Henry Oliver Rinnan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Henry Oliver Rinnan.

Henry Oliver Rinnan (14 Mei 19151 Februari 1947) alikuwa ofisa mkatili wa Gestapo wa maeneo yaliyoizunguka Trondheim, Norwei wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

Aliongoza kikosi kilichoitwa Sonderabteilung Lola. Kikosi hiki pia kilijulikana kwa jina la Rinnanbanden, kikosi pia kilikuwa na wanachama wa Kinorwei wapatao 50. Miongoni mwa wanachama hao alikuwa: Karl Dolmen, Arild Hjulstad-Østby, Ivar na Kitty Grande.

Rinnan alizaliwa mjini Levanger kunako tarehe 14 Mei ya mwaka wa 1915, yeye ni wa kwanza kuzaliwa kutoka familia ya watoto wanane. Rinnan alikuwa andunje wa urefu wa (1.61 mita - 5 ft 3 inchi) alikuwa yeye tu wakati wa utoto wake. Alifanya kazi kwa mjomba wake kwa muda mchache tu, lakini baadaye alitimuliwa kwa kosa la wizi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Oliver Rinnan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.