Henrietta Kosoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Henrietta Kosoko alikuwa mcheza filamu wa Nollywood.[1] alianza kuonekana katika filamu ya ''Onome'' na ''Omolade'' akiwa kama nyota wa filamu mwaka 1995, Aliolewa na muigizaji wa zamani Jide Kosoko.[2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henrietta Kosoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.