Nenda kwa yaliyomo

Henchir-Madjouba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Utawala wa Kirumi - Afrika Proconsularis (125 BK)

Henchir-Madjouba ni eneo la akiolojia[1] karibu na vyanzo vya Mto Medjerda huko Tunisia, Afrika Kaskazini. Iko katika 8.50238 Kas, 35.80905 Mash. Sehemu hiyo inajulikana kama magofu ya mji wa Tituli, [2] [3] ambao ulikuwa mji wa Jimbo la Kirumi la Afrika Kaskazini mwa Dola la Roma.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Henchir-Madjouba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.