Helle Ploug

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Helle Ploug ni mwanasayansi wa masuala ya baharini anajulikana kwa kazi yake ya utafiti wa chembe chembe za maji ya bahari.Ni mkufunzi katika chuo kikuu cha gothenburg,alikuwa mwanachama wa Association for the Sciences of Limnology and Oceanography mwaka 2017.

Taaluma na ujuzi[hariri | hariri chanzo]

Ploug alizaliwa nchini Denmark.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Helle Ploug kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.