Nenda kwa yaliyomo

Heineken

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chupa ya Heineken.

Heineken Lager Beer (matamshi ya Kiholanzi: [ɦɛinəkən]) ni bia ya Kiholanzi yenye kilevi cha asilimia 5.

Bia hii ilianzishwa na kampuni ya bia ya Netherlands Heineken International. Heineken inajulikana kwa saini yake ya chupa ya kijani na nyota nyekundu.

Mwaka 2013 Heineken alijiunga na wazalishaji wa pombe kama sehemu ya ahadi za wazalishaji ili kupunguza vinywaji vyenye madhara.

Mwishoni mwa Februari 2013, Heineken alisimama kuzalisha chupa zenye rangi ya kahawia zilizotumiwa katika soko la Uholanzi, na baadae chupa hizo ziliacha kutumika na katumiwa chupa za kijani.

Mwaka 2014 Heineken aliadhimisha miaka 150 tangu bia hiyo ilipoanzishwa. Mwaka 2015 Heineken alipata tuzo ya viwanda vinavyotengeneza bia bora zaidi.