Heffa Schücking

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Heffa Schücking ni mwanamazingira kutoka Ujerumani. Ni mwanzilishi na mkurugenzi wa shirika la Urgewald linalojihusisha na mazingira na haki za binadamu nchini Ujerumani.[1]

Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 1994, kwa kazi zake za kuhifadhi misitu ya mvua.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-24. 
  2. https://www.goldmanprize.org/recipient/heffa-schucking/