Hefei
Jump to navigation
Jump to search
Hefei | |||
|
|||
Nchi | China | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Anhui | ||
Idadi ya wakazi | |||
- | 4,627,300 | ||
Tovuti: www.anhui.gov.cn |
Hefei (kwa Kichina: 合肥) ni mji wa China. Ndio mji mkuu katika jimbo la Anhui.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, kuna wakazi wapatao milioni 4.6 wanaoishi katika mji huu.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hefei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |