Heather Payne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Heather Margaret Payne (alizaliwa 26 Januari 2000 [1]) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ireland ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya Everton inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Ireland.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce93/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Heather Payne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.