Hayley Fowler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hayley J. Fowler ni Profesa wa Mabadiliko ya Tabia ya nchi katika Chuo Kikuu cha Newcastle.

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Fowler alisoma Shule ya sekondari ya Poynton huko Cheshire, Kaskazini Magharibi mwa Uingereza kuanzia 1986 hadi 1993. Alisomea Shahada ya Kwanza ya Sanaa ya Jiografia katika Chuo Kikuu cha Cambridge (1996), ambapo alitunukiwa Tuzo ya Mwanajiografia bora mnamo mwaka 1996. [1] Kisha alihamia Chuo Kikuu cha Newcastle, ambako alipata Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Uhandisi wa Mifumo ya Rasilimali za Maji 1997. .[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "INTENSE: INTElligent use of climate models for adaptatioN to non-Stationary climate Extremes". European Commission CORDIS. 
  2. "Prof. Hayley Fowler". academia-net.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-02. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hayley Fowler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.