Nenda kwa yaliyomo

Hawa Abdi Samatar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hawa Abdi Samatar (kwa Kisomali: Xaawo Cabdi Samatar) alikuwa kiongozi wa kisiasa kutoka Somalia. Alikuwa Mke wa Kwanza wa Somalia, na mke wa rais wa zamani wa Somalia na Puntland, marehemu Koloni Abdullahi Yusuf Ahmed.[1] Wanandoa hao walikuwa na watoto wawili wa kiume na wasichana wawili pamoja na wajukuu sita.[2]

Hawa Abdi Samatar mke wa Rais wa zamani wa Somalia alifariki dunia huko Falme za Kiarabu , familia yake ilithibitisha.[3]

  1. "Yahoo | Mail, Weather, Search, Politics, News, Finance, Sports & Videos". www.yahoo.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-09-28.
  2. "SOMALIA: Former Somalia president dies 87 [Brief History] | RBC Radio". web.archive.org. 2012-03-26. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-26. Iliwekwa mnamo 2024-09-28.
  3. admin (2022-05-11). "Former First Lady, Hawa Abdi Samatar, Handed Away, Abdullahi Yusuf Ahmed Spouse Death". Esajaelina (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-09-28.