Hausa koko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hausa koko inayojukikana kama uji wa ulezi ni ni chakula cha Nchini Ghana kinacholiwa kama kifungua kinywa hasa hasa mitaani. Pia huliwa nyakati za mchana kama kitafunwa.[1] Huandaliwa kutokana na ulezi na huongezewa viungo ili kukioa ladha na rangi.[2] Chakula hicho kinaitwa Hausa Koko kwasababu kimetokea ukanda wa juu wa nchi ya Ghana. Pia huliwa sana na jamii nyingi za watu wa Ghana.

Mara nyingi chakula hicho huliwa na maharage yaliyokaangwa yanayoitwa koose, Pinkaso, ni vipande vya Unga wa ngano vilivyokaangwa, au maharage ya kuoka yanayoitwa Akara. [3]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]