Nenda kwa yaliyomo

Hassane Fofana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hassane Fofana wa kwanza kutoka kushoto
Hassane Fofana wa kwanza kutoka kushoto

Hassane Fofana (alizaliwa 28 Aprili 1992) ni mwanariadha kutoka Italia aliyeshiriki kwenye kuruka vihunzi[1]. Ana asili ya Ivori Coast[2]. Alishindana kwenye michuano ya 2020 ya olimpiki ya majira ya joto ,kwenye vihunzi mita 110.[3]

  1. "Hassane FOFANA | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
  2. "Hassane Fofana (g.s. Fiamme Oro Padova)". www.fidal.it (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
  3. "Athletics FOFANA Hassane - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.