Hassan Dilunga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hassan Dilunga ni mchezaji wa mpira wa miguu wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Tanzania. Kwa upande wa nafasi anayocheza ni kiungo kwa timu ya Simba

Mafanikio ya mchezaji huyu: alishawahi kucheza klabu bingwa Afrika akiwa na timu yake ya Simba na kufikia hatua ya robo fainali na alifanikiwa kuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara akiwa na Simba.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hassan Dilunga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.